MOHAMED
Rashid, mshambuliaji wa Simba, ambaye yupo kwenye mpango wa kutolewa kwa mkopo
amezigombanisha KMC, JKT Tanzania na Tanzania Prisons ambazo zote zinahitaji huduma yake.
Akizungumza na Saleh Jembe, Juma amesema kuwa kwa sasa bado hajapata timu ila wakati ukifika anaamini kila kitu kitakuwa sawa.
"Bado nipo Simba kwa sasa na ninaendelea vizuri, kikubwa ninachokijua kuhusu mimi kinasimamiwa na viongozi wangu ni suala la kusubiri," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment