December 3, 2019


Imeelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba, upo katika mchakato wa kumalizana na mabosi wa Polisi Tanzania ili kumchukua kocha wao Suleiman Matola.

Taarifa zinasema Matola anarejea tena Simba ili kuja kuchukua nafasi ya Denis Kitambi kama Kocha Msaizidi wa klabu hiyo.

Kurejea kwa Matola Simba itakuwa si mara ya kwanza kwani aliwahi kuwa kocha mara kadhaa ndani ya klabu hiyo kongwe nchini.

Kinachofanyika hivi sasa ni Simba wanaendelea na mazungumzo na uongozi wa Polisi Tanzania ili kumalizana na suala la Matola ambaye inaelezwa atasaini mkataba wa miaka mitatu.

3 COMMENTS:

  1. Imetulia sana hy well come Matola at ur home

    ReplyDelete
  2. Simba wao wako kwa ajili ya kuua vipaji vya watu iweje Leo aonekane wa maana Hali kipindi Cha nyuma wslimtupia virago namdhauri matola Kama mwanataaluma wa mpira aangalie maslahi ya baadae ataishia kutimuliwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic