GHISIAIAN Yikpe Gnamien mshambuliaji mpya aliyeletwa Bongo na Yanga ili kumalizana naye kwenye dirisha dogo la usajili amegomea safari ya kwenda Mbeya kufanya majaribio na timu yake hiyo mpya.
Nyota huyo raia wa Ivory Coasta alivunja mkataba wake na Gormahia ya Kenya ili aje alambe dili ndani ya Yanga amekuta mambo tofauti na alivytarajia baada ya mabosi wake wapya kumwambia anatakiwa kufanyiwa majaribio.
Habari zinaeleza kuwa inawezekana akasafiri kwenda Mbeya au kuendelea kubaki Dar hadi kikosi kitakaporejea kwenye mchezo wake wa kesho Desemba 24 dhidi ya Mbeya City ambao ili kumalizana naye.
Kumekuwa na mvutano katika pande hizo mbili, mchezaji akionyesha anajiamini na anastahili kusajiliwa na Yanga ikitaka kumuona kwanza mazoezini, analisukuma vipi gozi la ng'ombe kwanza.
Wamchukue kama walivowachukuwa wengine wote. Kwanini Huyu tu wamuogope?
ReplyDeleteAnaumwa goti .Gor Mahia wamemuachia kirahisi kwa sababu ni bomu.Yanga tuwe makini apitie vipimo. Tusinunue mbuzi kwenye gunia.
ReplyDeleteMchukuweni huyo mchezaji mzuri sana kandambili nyinyi sifa nyingi magazetini chura wa jangwani nyinyi
ReplyDeleteUnasemaje we rofa kandambili wewe huvai?
DeleteKwani wakati wanamuita walikuwa hawajamuona akicheza? Yanga wasiwe wasumbufu. Wanamwitaje mtu hawajui kiwango chake. Yanga kweli magumashi
ReplyDeleteYanga ya manyangema
ReplyDelete