December 2, 2019

KABLA ya kusepa Kocha Patrick Aussems ameweza kukaa benchi kwenye jumla ya mechi 63.

Kwa sasa ameshapigwa chini na uongozi wa Simba huku mchakato wa kumtafuta mrithi wake ukiendelea. Hizi hapa ni rekodi zake wakati akiwa kwenye benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Simba:-

Ligi Kuu Tanzania Bara:-
Mechi 48 dawa na dakika 4,320

 Ushindi mechi 37 sawa na dakika 3,330
Sare 7 sawa na dakika 630
 Kufungwa 4 sawa na dakika360
 Mabao ya kufunga 96 wastani wa mabao mawili kila mechi. Mabao ya kufungwa 18
 Point 118.

Ligi ya Mabingwa Afrika

 Mechi 14.
 Ushindi Mechi 6
 Sare 3
 Kufungwa 5 
Jumla mabao ya kufunga 20
 Mabao ya kufungwa 22
 Pointi 21.

Kombe la FA mechi 1 ushindi 0 Sare 0 kufungwa 1 mabao ya kufungwa 3 kufunga 2.

Jumla
Mechi 63
Ushindi 43
Sare 10
Kufungwa 10
Mabao ya kufunga 118 kufungwa 43 point 139.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic