SIMBA YATAJWA JUU YA WACHEZAJI YANGA KUANZA KUDAI MADENI
Uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka kuhusiana na baadhi ya wachezaji wao kuanza kudai stahiki zao.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhamasishaji wa klabu hiyo, Antonio Nugaz, ameeleza kuwa moja ya sababu kubwa ni kuelekea mechi ya watani wa jadi dhidi ya Simba.
"Unajua wachezaji wa Yanga hususani hawa wakongwe wanashikana mikono wakitaka kulipwa stahiki zao kipindi hiki.
"Na wanafanya hivyo wakijua kuna mchezo dhidi ya Simba, ila sisi tunawaambia Yanga ni brand kubwa."
Brand kubwa hailipi mshahara
ReplyDeleteVipi Brandi kubwa na huku kulipa madeni haiwezekani Bila ya kufikishana na kulazimishwa kulipwa kwa instolomenti na huku mchezaji wa Aivori kumvunjisha mikataba wake na baada eti ajaribiwe kwa za. Si madogo
ReplyDeleteBrand kubwa my foot.Tulipeni madeni tuache longolongo.
ReplyDeleteSasa Hiyo BRAND KUBWA Mkaipange Tarehe4
ReplyDeleteBrand kubwa kuzidi "MO SIMBA ARENA"
ReplyDelete