Baada ya kutua nchini, kiungo Haruna Niyonzima moja kwa moja amejiunga na Yanga na kuanza mazoezi.
Niyonzima ameungana na Yanga katika mazoezi ya mwishomwisho kabla ya kuivaa Simba kwenye UWanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, keshokutwa.
Niyonzima anareja Yanga kwa mara ya pili akitokea AS Kigali, kabla alijiunga na Yanga akitokea APR ya Rwanda.
0 COMMENTS:
Post a Comment