LUC Eymaela raia wa Ubelgiji anatajwa kuibukia Yanga kuchukua nafasi ya Kaimu Kocha Mkuu, Charles Mkwasa.
Mkwasa mwenye tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Desemba alipokea mikoba ya Mwinyi Zahera ambaye alipigwa chini kutokana na matokeo mabovu ndani ya Yanga.
Inaelezwa kuwa Mbelgiji huyo atatua nchini Leo kumalizana na Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment