January 15, 2020


FT: Yanga 0-3 Kagera Sugar
Gooal: Mhilu dk 13
Ramadhan dk y a 66
Mwalanzi dk ya 89

Zinaongezwa dakika nne
Dakika ya 89 Peter Mwalanzi anafunga bao la tatu kwa kichwa
Ally Ramadhana Goool Kagera Sugar dakika ya 66
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru
HT Yanga 0-1 Kagera Sugar
Gooool Mhilu dakika ya 13

Zinaongezwa dakika 5

Dakika ya 44 Mo Banka anapewa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi mbili za njano, ya kwanza alionyeshwa dakika ya 26 kwa kumchezea rafu Adalah Siseme na ya pili alionyeshwa dakika ya 44 kwa kumchezea rafu Kelvin Sabato
Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatari

UWANJA wa Uhuru kwa sasa mchezo unaondelea ni kati ya Yanga na Kagera Sugar.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani na ushindani wa ligi ambayo inazidi kuchanja mbunga.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza Uwanja wa Uhuru.

10 COMMENTS:

  1. Kikosi cha mabingwa wa jadi kikiongozwa na Kocha hatari mpaka sasa hivi chali

    ReplyDelete
  2. Aibu Aibu tena Aibu. Rahaaaaa mpaka sasa. Manara upooo

    ReplyDelete
  3. Zahera yupo hapoo kiwanjani?. Heala yako tayari kibindoni. Hongera SANA GSM mwaga hela tuchukue ubingwa Kutoka kwa mnyama

    ReplyDelete
  4. Mwaga hela GSM msivunjike moyo ubingwa wenu tu kwasababu usajili muruwa

    ReplyDelete
  5. GSM hajamlipa refa pesa yake walichelewa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic