FT: Yanga 0-3 Kagera Sugar
Gooal: Mhilu dk 13
Ramadhan dk y a 66
Mwalanzi dk ya 89
Zinaongezwa dakika nne
Dakika ya 89 Peter Mwalanzi anafunga bao la tatu kwa kichwa
Ally Ramadhana Goool Kagera Sugar dakika ya 66
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru
HT Yanga 0-1 Kagera Sugar
Gooool Mhilu dakika ya 13
Zinaongezwa dakika 5
Dakika ya 44 Mo Banka anapewa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi mbili za njano, ya kwanza alionyeshwa dakika ya 26 kwa kumchezea rafu Adalah Siseme na ya pili alionyeshwa dakika ya 44 kwa kumchezea rafu Kelvin Sabato
Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatari
UWANJA wa Uhuru kwa sasa mchezo unaondelea ni kati ya Yanga na Kagera Sugar.
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani na ushindani wa ligi ambayo inazidi kuchanja mbunga.
Kwa sasa ni kipindi cha kwanza Uwanja wa Uhuru.
Funga hao vyura 3 - 0
ReplyDeleteBrother nifundishe na mimi namna ya ku-bet
DeleteKikosi cha mabingwa wa jadi kikiongozwa na Kocha hatari mpaka sasa hivi chali
ReplyDeletePiga washenzi hao
ReplyDeleteAibu Aibu tena Aibu. Rahaaaaa mpaka sasa. Manara upooo
ReplyDeleteZahera yupo hapoo kiwanjani?. Heala yako tayari kibindoni. Hongera SANA GSM mwaga hela tuchukue ubingwa Kutoka kwa mnyama
ReplyDeleteMwaga hela GSM msivunjike moyo ubingwa wenu tu kwasababu usajili muruwa
ReplyDeleteRaha mpaka kumoyo
ReplyDeleteManara wap kaka tupe vipya hapo
ReplyDeleteGSM hajamlipa refa pesa yake walichelewa
ReplyDelete