Leo Januari 12, 2020 wananchi wa Zanzibar wanaadhimisha miaka 56 ya
mapinduzi. Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa
madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake, iliyoundwa hasa na
Waarabu, na hatimaye kuweka uongozi mikononi mwa Waafrika, ambao ndio
wengi visiwani humo
0 COMMENTS:
Post a Comment