January 2, 2020


Mssemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara akiwa na Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa jana Januari 1, 2019 wameongea na wanahabari katika hoteli ya Serena kuongelea mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa siku ya Jumamosi  saa 11: 00 jioni Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Haji Manara amesema Yanga ni Timu kubwa na kuwataka wachezaji wasiwe na mapembe badala yake wajiandae vyema, wakapambane.

2 COMMENTS:

  1. Mfumo wa Uendeshaji wa Klabu ya Simba ni wa kisasa zaidi na unafaa kuigwa....kuiendesha klabu kubwa kama Yanga kwa staili ya ufadhili ni karne ya 19....ukiwa unaendesha kwa mfumo wa hisa na uwekezaji klabu inakuwa kampuni inaajiri watu wa kufanya kazi kuiendesha kama kampuni na mipango yake inakuwa ya kisasa (wataalamu wa soka/walimu waliobobea, wataalamu wa fitness, Lishe ya wachezaji, Wachua misuli, afya za wachezaji, match analysts, kambi bora na ratiba bora ya mazoezi, viwanja vya kisasa vya mazoezi na academy za soka kwa vijana) ..sio mwanachama huyu anateuliwa kwenye kamati hii au Ile, wachezaji mishahara inachelewa baadaye wanagoma, matibabu ya wachezaji kuchukua mwaka, ni baadhi ya changamoto za kuiendesha klabu kizamani kama Yanga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic