FT: Yanga 2-0 Jamhuri
Dakika ya 90 Lamine Moro ndani anachukua nafasi ya Deus Kaseke.
Dakika ya 83 Mo Banka anafunga bao kwa shuti kali linalozama nyavuni
Dakika ya 84 Mo Banka anaotea
Dakika ya 79 Mo Banka anaingia kuchukua nafasi ya Balama
Dakika ya 59 60 Ally Ally kwake Dante wanalifuata lango la Jamhuri
Dakika ya 57 Jamhuri wanafanya jaribio nje ya 18 halijai nyavuni
Dakika ya 55 Makapu, FeiToto, Mapinduzi,
Dakika ya 53 Kabwili anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 52 mlinda mlango wa Jamhuri anaanziha mashambulizi
Dakika ya 51 Fei Toto anafanya jaribio linakuwa ni off target
Dakika ya 49 Dante anafanya jaribio halileti matunda
Dakika ya 45 Nchimbi anatoka anaingia Adam Stanley
Kipindi cha pili
HT: Yanga 1-0 Jamhuri
Dakika mbili zinaongezwa
Dakika ya 45 Adeyum anafunga goool la kwanza kwa guu lake la kushoto kwa faulo ya moja kwa moja
Dakika ya 44 Yanga inapata faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 43 Jamhuri wanaliandama lango la Yanga
Dakika ya 41 Kaseke, Makapu, Feisal, Kaseke mabeki wanatibua
Dakika ya 40 Yanga wanaliandama lango la Jamhuri
Dakika ya 39 Adeyum anapiga faulo haizai matunda
Dakika 37 Mohamed Mgau anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu mchezaji wa Yanga, Adeyum
Dakika ya 36 Ally Ally, Kaseke, Mapinduzi, Makapu,, Fei Toto, Mapinduzi, Adeyum
Dakika ya 35 Emanuel anapiga faulo kali inagonga mwamba na kurejea uwanjaniDakika ya 34 mshambuliaji wa Jamhuri anachezewa rafu na Paul Godfrey
Dakika ya 33 Mapinduzi anafanya jaribio linaishia miguuni mwa mabeki wa JamhuriDakika ya 32 Mapinduzi wanaliandama lango la Yanga
Dakika ya 31 Kaseke, Fei Toto, Jamhuri wanaondoa hatari
Dakika ya 29 Paul Godfery anafanya jaribio halizai matunda
Dakika ya 28 Adeyum anarusha mpira wa adhabu unaonolewa na mabeki wa Jamhuri.
Dakika ya 27 Jamhuri wanafanya jaribio kwa Kabwili halizai matunda
Dakika ya 26 Emmanuel Joseph anacheza mpira wa adhabu eneo la Yanga unaokolewa na mabeki wa Yanga.
Dakika ya 25 Nchimbi anamuachia Mapinduzi, Balama kwake Kaseke mipango inavurugwa na beki ya Jamhuri
Dakika ya 24 Yanga wanapiga kona ndefu inayopigwa na Kaseke haizai matunda.
Dakika ya 22 Adeyum anacheza faulo kwa mchezaji wa Jamhuri nje kidogo ya 18
Mchezo unaondelea kwa sasa visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amani ni kati ya Yanga dhidi ya Jamhuri.
Kwa sasa ni kipindi cha kwanza hakuna timu ambayo imeona lango la mpinzani mwenzake.
Ushindani ni mkubwa na kila timu inapambana kutafuta ushindi ili kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment