KATIBU wa Matawi wa Yanga, Mkoa wa Mtwara Yusuph Mpame amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa sapoti kubwa waliyoionyesha kwenye mechi yao dhidi ya Simba iliyochezwa Jumamosi, Januari 4, 2020 Uwanja wa Taifa.
Mpame amesema kuwa hamasa ya mashabiki ilikuwa na nguvu na imewafanya wachezaji wacheze kwa kujituma na kupata sare ya kufungana mabao 2-2.
Kwa mashabiki ambao walitoka Mtwara kwa baiskel wamekabidhiwa zawadi ya baiskel mpya baada ya kurejea salama salmini mkoani Mtwara.
0 COMMENTS:
Post a Comment