LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake walipoteza nafasi nyingi za wazi jambo lililowafanya wakakubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Kagera Sugar.
Mbelgiji huyo kwa mara ya kwanza akiwa kwenye benchi la ufundi ndani ya Yanga alishuhudia timu yake ikipokea kichapo hicho kikubwa ndani ya mwaka 2020, jana Januari 15 uwanja wa Uhuru.
Akizungumza na Saleh Jembe, Eymael amesema kuwa hawakuwa na nafasi ya kupoteza bali kushinda kutokana na nafasi ambazo walizitengeneza kwenye mchezo.
"Tumetengeneza nafasi nyingi kwenye mchezo wetu dhidi ya Kagera, umakini wa washambuliaji pamoja na wachezaji kumalizia nafasi hizo umetufanya tushindwe kupata matokeo chanya," amesema.
Mechi hii ni ya 13 kwa Yanga ikiwa na pointi 25 kibindoni imeachwa kwa jumla ya pointi 10 na Simba iliyo kileleni ikiwa imecheza jumla ya mechi 14 na leo itakuwa kazini kumenyana na Mbao FC.

Ingekua Simba mgefungwa 10
ReplyDeleteIlipokuwa Simba(04.01), tulitoka sara ya 2-2; kwamba Simba ni size yetu zaidi.
DeleteYanga punguzeni au ikiwezekana acheni kabisa mihemko,mbona hamuendani na mambo mnayoyafanya?mshukuruni sana mganga wenu ila kwa mpira mnaouonyesha karibia mzunguko wote wa hii round ya kwanza hakuna lolote ni ubabaishaji tu na ndiomana simba ataendelea kupanda viwango kwenye nafasi za FIFA na CAF,myself sinaga imani na yanga hata kidogo wanapokua wanacheza na wala sitegemei ubingwa wowote ule kwa kiwango wanachoonesha.timu inapata matokeo kwakusuasua kwanin??hongeren sana kwakuhadaa mashabikina nitoe pole kwa mashabiki wa yanga kwakua bado hawajausoma mchezo unaoendelea mpaka sasa.ila kila mtu atavuna alichokipanda hii ndio yanga tuliyoitaka sisi wapenzi wa mpira na mashabiki wa yanga.
ReplyDeleteHuu ni mpira ndugu, na tambua matokeo matatu wakati wowote yanatokea, hivyo punguza pressure a jazba...hali itabadilika na mpira utauona
DeleteTulicheza na Kagera be kuwafunga tena kwao 3 bila.Hivyo endelea kuota.
ReplyDeleteTimu ni mbovu na kila mnapoleta wachezaji wapya kwa wakati huu ndio mnazidi kujivuruga na msisahau Azam ni kali Mara tatu kuliko Kagera inakungojeeni
ReplyDelete