MKUU WA MKOA WA DAR, MAKONDA APEWA CHEO NDANI YA SIMBA Verified MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni shabiki wa Simba, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi. Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Ukurasa rasmi wa Istagram ya Simba.
Kilichoteuliwa kuwa mshauri ni cheo cha RC ama mtu?
ReplyDeleteNdio nn sasa?
ReplyDeleteAnastahiki hongera sana mkuu.
ReplyDeleteamewekwa ili MO akijiuzulu tena amshauri arudi...
ReplyDelete