January 17, 2020



SADALA Kipangwile, leo amekuwa nyota wa mchezo kwa KMC kwa kupeleka kilio mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Januari,17,2020.

Kipwagile alipachika baao la kwanza dakika ya 18 na lile la pili alipachika dakika ya 43 na kuifanya timu yake ishinde kwa jumla ya mabao 2-0.

Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kila timu ilipambana kutafuta matokeo mwisho wa siku ushindi ukawa kwa KMC.

Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa haikuwa bahati yao kupata ushindi mbele ya KMC.

10 COMMENTS:

  1. Timu zingine bwana ..kumbe kuikamia .... tu

    ReplyDelete
  2. Jifunze kucheza mpira katika uhalisia,kumbe mnakamia mechi ndiomana ligi inawashinda,sasa mmeweza kumfunga simba iweje mnafungwa na kmc tena kizembe?mmecheza mpira kama ndondo cup wapuuzi kweli,kwa mfumo huo kamwe hamtakaa mpige hatua yoyote katika maisha ya soka,poleni kwa kipigo.

    ReplyDelete
  3. Uchawi plus kukamia,yanga walikua wachawi napia walikamia mechi majibu mnayo,mtibwa alikamia mechi sana pia majibu mnayo,ahsanteni na poleni mtibwa pamoja na ndugu zenu yangaa,POVU RUKSAAAAA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo ukiifunga Simba unakuwa mchawi?Masikini wa akili wewe

      Delete
  4. Lakini sasa kwanini Mo asichukue Maamuzi ya ghadhabu ya kujiuzulu? Mtibwa kenda kufungwa na kibonde wa ligi iweje timu yenye makocha wataalamu watatu wa kigeni na wachezaji kadhaa wa timu za Taifa kutoka mataifa mbali mbali wakubali kuinamishwa na mtibwa? Au nguvu za giza kweli zinafanya kazi?
    Kumbuka Simba ndio timu ya Taifa ya Tanzania kubali kataa kakini huo ndio uhalisia.Tusiichukulie kauli ya Mo kirahisi rahisi tu na kujikita katika kumlaumu.Mo ni muekezaji ndio lakini ni shabiki pia.Lakini amini pia kuwa Mo ni miongoni mwa watanzania wachache wasiochekelea uzembe na ndio maana kafanikiwa.Matokeo ya mpira sawa lakini watanzania tumeishi na matokeo ya mpira bila ya kuwa na uchungu na matokeo yake tumekuwa wakushika mkia wa kudumu wa viwango vya soka duniani.Dhamira ya Mo ni kuijenga Simba sio kuhangaishwa na vijitimu kama mtibwa labda wachezaji na wahusika wengine hawajamuelewa Mo. Na nadhani kutokana na kauli yake ya juzi ya kujiuzulu uenyekiti wa bodi kwa wale wenye akili watakuwa wamemuelewa na kwa wale wanaofuata mkumbo wataona Mo ananyanyasa ila alichokifanya Mo ni kuwajibika kwa hisia yakwamba ameshindwa majukumu yake. Kwangu mimi ni Simba wa kuzaliwa maamuzi yeyote angechukuwa Mo kwa kipigo cha aibu cha mapinduzi cup ningemsapoti na namsapoti hadi sasa na kama amerudia wazifa wake namsapoti pia ila wasaidizi wake lazima waamke kumsaidia Mo kujenga kikosi imara cha ushindani.Lengo la Mo ni kujenga Simba mbadala wa TP Zembe kwenye ukanda huu na kamwe Simba haiwezi kufika huko kwa kuchekeana. Mo yupo serious kwenye business lakini wachezaji au labda baadhi ya watendaji bado wapo as business as usual. Kauli yangu kwa Mo kokote alipo wala asiijutie kauli yake ile ya kujiuzulu kwani imeleta hoja yenye nguvu ya uwajibikaji kwa wale wenye vichwa vilivyotengemaa. Lakini kwa vichwa mlazo au vilaza watabaki kulaumu tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda Nida wewe,unapoteza muda hapa gazeti kubwaaaa,wahi Nida wewe!

      Delete
  5. Humood aliye jiona bora mbele ya Simba Yuko wapi,ndiyo maana wachezaji wa kitanzania hamuwezi kutoboa kimataifa mtakalia kuzunga Mara mtibwa,Mara lipuri,mtibwa bingwa wa mapinduzi hoi bini taabani hahaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bacerona ina vikombe vingapi?Haifungwi?Akili ndogo

      Delete
  6. I cannot agree more.Umemalizika kila kitu.Aliyeelewa kaelewa.

    ReplyDelete
  7. LAKINI TULISHATOA GO AHEAD POVUUUU RUKSAAAAA.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic