January 13, 2020


PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa leo watapmabana mbele ya Mtibwa Sugar kulitwaa kombe la Mapinduzi.

Simba ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 mbele ya Azam FC baada ya dakika tisini kutoshana nguvu.

"Tunawaheshimu wapinzani wtu, ila kwetu sisi maandalizi yetu ni kwenye kila mechi tunahitaji kupata ushindi, mchezo utakuwa mgumu nasi tupo tayari kupambana ili kutwaa kombe," amesema.

Mchezo wa fainali kati ya Mtibwa Sugar na Simba utachezwa leo saa 2:15 usikuwa uwanja wa Amaan.

1 COMMENTS:

  1. jamani Kiswahili ni lugha ya Taifa!
    jitahidini kuandika kwa umakini mkubwa ili tuwaelewe vizuri.
    sasa kwa nini huandike kama mtu aliyekimbizwa na vyura akiwa jangwani?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic