January 3, 2020


Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Ofisa Habari wake Haji Manara, umesema utaingia na mabakuli zaidi ya 30 katika uwanja wa taifa, Dar es Salaam ili kuwachangia Yanga.

Manara ameeleza mabakuli hayo yatatumiwa na mashabiki wa Simba kuchangia fedha hizo ili waweze kuwapatia Yanga baada ya mechi.

Ameeleza kuwa wao na Yanga ni watani wa jadi pia ni ndugu na huwa wanazikana hivyo hakuna haja ya kushindwa kusaidiana.

Manara amefunguka akieleza wamedhamiria kufanya hivyo ili kuwasaidia fedha kadhaa ambazo zitasaidia kulipa mishahara ya wachezaji wa Yanga sambamba na kutimizia majukumu mengine.

6 COMMENTS:

  1. Usidharau mwenzio wakati bado unao uhai

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli inabidi kumshukuru Manara kwa Roho yake Safi na hasa kwa kuzungusha mabakuli

    ReplyDelete
  3. Kwakweli kama ukiangalia kwa umakini YANGA asingewza kumpatia kibali cha kazi kama ilivyofanya Simba na ndiomana simba ni baba lao,lazima awasaidie lakini ingelikua wao msemo wa pesa ya mke ni ya mke tu sio ya familia ila pesa ya baba ni ya familia ungetumika,kwahyo acha simba imsaidie yanga kwakuzinatia huu msemo.

    ReplyDelete
  4. Welldone Manara ni jambo zuri sana la kusaidiana tujitahidi zipatikane pesa nyingi ili ziwasaidie kuwalipa Ngoma na Chirwa stahiki zao

    ReplyDelete
  5. Je Yanga wataikataa hiyo hela ya bakuli? Kwa Yanga hela hiyo ni chungu lakini hawawezi kuikataa kwasababu wanaihitaji Sana na Hakuna haja ya kuikataa na kujikaza kisabuni kwasababu wachezaji wamekuwa watete sana, ikichelewa hela ni kugoma na kutaka kuondoka na wakidai wanaambuiwa uzalendo Kwanza laki Akina Molinga pia wataambiwa hivo?

    ReplyDelete
  6. Mngetuchangia na fedha za usajili pumbavu nyie. Hadi sasa hakuna mchezaji anae dai fedha za mshahara, GSM baba lao.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic