Viongozi wa SIMBA yafanyieni kazi haya maoni ya mashabiki.. Kiukweli Manula hatufai tena.. Haijui thamani ya Simba kabisa.. Aondoke hata kwa mkopo hana msaada na sisi ndo maana hata Kocha wa timu ya Taifa alimuacha @hajismanara @moodewji @football_senzo @seleman_matola @simbasctanzania
Kwan nyie Simba hamjawahi kushangilia droo...unakumbuka mechi aliyasawazisha kichua kwa kona, Simba hamkushamgilia Drooo? Leo kimewauma, huo msumari umeingia
Viongozi wa SIMBA yafanyieni kazi haya maoni ya mashabiki.. Kiukweli Manula hatufai tena.. Haijui thamani ya Simba kabisa.. Aondoke hata kwa mkopo hana msaada na sisi ndo maana hata Kocha wa timu ya Taifa alimuacha @hajismanara @moodewji @football_senzo @seleman_matola @simbasctanzania
ReplyDeleteDroo kwa yanga wao ni ushindi ndio mana wanashangilia sana
ReplyDeleteKwan nyie Simba hamjawahi kushangilia droo...unakumbuka mechi aliyasawazisha kichua kwa kona, Simba hamkushamgilia Drooo? Leo kimewauma, huo msumari umeingia
ReplyDelete