February 21, 2020


DIDIER Drogba imeelezwa kuwa amefutwa kazi yake ya ushauri wake ndani Shirikisho la soka barani Afrika CAF, katika nafasi ya kumshauri Rais wa shirikisho hilo Ahmad Ahmad.

Imeelezwa kuwa hatua hiyo imetokana na nyota huyo kushindwa kutimiza majukumu yake ya kumshauri rais huyo tangu alipoteuliwa mwezi Julai 2019.

Pia Drogba ambaye ni nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast ameshindwa kuhudhuria au kushiriki shughuli zozote za CAF ikiwemo michuano ya AFCON mwaka jana.

Kwa sasa nafasi hiyo ya kumshauri rais Ahmad itabaki kwa mchezaji mstaafu wa Cameroon Samuel Eto'o.

1 COMMENTS:

  1. THERW IS NO SPIRIT OF DEVELOPMENT IN OUR HOME LAND,THIS IS DUE TO THE LACK OF SELF ESTEEM(SELF WORTH),WAAFRIKA WENGI BADO TUNATAWALIWA NA FIKRA HASI KUHUSU UWEZO TULIONAO HIVYO HUTUWIA NGUMU SANA KWA WAAFRIKA KUPIGA HATUA KATIKA SUALA LOLOTE LA KIMAENDELEO,ANYWAY ACHA WAJARIBU WENGINE LABDA MAJUKUMU YAMEKUA MENGI KWAKE.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic