February 5, 2020


UONGOZI wa Kagera umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Kaitaba kushuhudia burudan mbele ya Mwadui FC saa 10:00.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wanatambua ushindani ndani ya ligi ni mkubwa watapambana kupata matokeo chanya.

"Ushindani ndani ya ligi ni mkubwa na kila timu inahitaji ushindi, tunatambua kwamba tutakutana na timu nzuri ila nasi tupo vizuri tunahitaji kupata pointi tatu," amesema.

Kagera Sugar ilishinda mabao 3-0 mbele ya Singida United na itamenyana na Mwadui FC iliyopoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Mwadui FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic