March 5, 2020

4 COMMENTS:

  1. Sasa utata upo wapi hapo off side ya wazi kabisa na hata kama aliguswa huo mchezaji wa Azam basi hiyo diving utazani yupo kwenye mashindano ya kuogelea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli hwa waandishi nao ni maguluguja, video wameona hakuna offside wala penati na bado wanaandika UTATA, hapo kuna utata upi sasa.... diving ya mchezaji wa Azam kisa yuko kwenye 18 ndio akiguswa tu anaruka kama kipanga na ile rebounce hata kabla mpira kupigwa wachezaji watatu wa Azam wanaskua offside..Hawa waabdishi nao wanaleta uchochezi..

      Delete
    2. Wewe ni bogus mavi matupu

      Delete
  2. ACHA KELELE, KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE TU

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic