KLABU ya Biashara United ya Musoma mkoani
Mara imeshindwa kuwarejesha wachezaji kambini kama ratiba yao ilivyokuwa
kutokana na kuendelea kwa janga la Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa
Covid-19.
Mwenyekiti wa Biashara United, Selemani
Kichele amesema: “Tumekaa na kujadili tukakubaliana tuendelee kusubiri tamko la
Serikali juu ya Corona, wakitangaza tuendelee na michezo sisi tutawaita
wachezaji kambini kuendelea na kambi lakini kwa sasa wachezaji wapo nyumbani.”
Aidha, aliongeza kuwa anawaomba wadau
kuendelea kuiunga mkono klabu hiyo katika michezo yake ili waweze kufanya
vizuri.
0 COMMENTS:
Post a Comment