LEO Juni, 27 mambo timu 14 zitakuwa kwenye viwanja saba tofauti kusaka pointi tatu muhimu.
Mtifuano mkubwa leo utakuwa namna hii :-
Ruvu Shooting v Namungo, Uwanja wa Mabatini.
Yanga v Ndanda, Uwanja wa Taifa.
Alliance v Coastal union, Uwanja wa Nyamagana .
Mwadui v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mwadui.
Biashara United v Azam FC, Uwanja wa Karume.
Mbeya City v JKT Tanzania, Uwanja wa Sokoine.
Kagera Sugar v KMC, Kaitaba.
Mechi zote zinachezwa saa 10:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment