LEO PLAY OFFS IPO NAMNA HII LEO kivumbi cha Play offs kinaendelea hatma ya atakayepanda kujulikana leo. Mechi ya kwanza Mbeya City walifungana bao 1-1 na Geita na Mbao ilikubali kichapo cha mabao 2-0 mbele ya Ihefu.
0 COMMENTS:
Post a Comment