August 21, 2020

 Mshambuliaji mghana, Michael Sarpong anatarajiwa kutua nchini Tanzania leo akitokea nchini Ghana kuja kumalizana na Klabu ya Yanga.


Kwa sasa Yanga inajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya pamoja na kuboresha mikataba ya wachezaji wake wa zamani ili kuzidi kuwa na kikosi imara kwa ajili ya msimu wa 2020/21.


Jana iliwashusha wachezaji wawili kutoka Congo ambao ni pamoja na Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko kwa dili la miaka miwili wote wametokea Klabu ya AS Vita.

2 COMMENTS:

  1. AMESHACHUKULIWA NA AZAM HUYO JUU KWA JUU, MARA BAADA YA YANGA KUMTANGAZA JANA, AZAM KWA KUSHIRIKIANA NA SIMBA WALIINGILIA KATI DILI HILO ILI ASITUE YANGA.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic