August 21, 2020



Amani Kyata, beki wa kati amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Namungo.

Beki huyo amejiunga na Namungo FC akitokea Klabu ya Kariobangi Sharks ya Kenya leo Agosti 21.

Namungo FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery inakisuka kikosi chake kwa ajili ya kushiriki Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho.

Miongoni mwa wachezaji ambao imemalizana nao ni pamoja na Sixtus Sabilo, Jaffary Mohamed na Fredy Tangalo ambaye alikuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa.

2 COMMENTS:

  1. Replies
    1. Umekula maharage ya wapi wewe?suala la usajili wa huyu mchezaji linahusiana vipi na kufunga kiatu

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic