Majembe tisa mapya Yanga Kwenye ulinzi bi balaa wapo wanne cheki namna walivyo hapa:-
Mustapha Yassin beki kutoka Polisi Tanzania.
Zawadi Mauya kiungo kutoka Kagera Sugar.
Kibwana Shomari beki wa kulia kutoka Mtibwa Sugar.
Bakari Mwamnyeto beki kutoka Coastal Union.
Abdallah Shaibu, 'Ninja' beki kutoka MFK ya Serbia.
Farid Mussa, kiungo kutoka CD Tenerife ya Hispania.
Wakigeni ni pamoja na:-
Tuisila Kisinda winga kutoka AS Vita.
Tonombe Mukoko kiungo mkabaji naye kutoka AS Vita.
Yacouba Sogne, mshambuliaji kutoka Klabu ya Asante Kontoko.
0 COMMENTS:
Post a Comment