Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM, Injinia Hersi Said ndiye amekamilisha mpango wa nyota hao kuibukia ndani ya Yanga.
Mukoko Tonombe ambaye ni mshambuliaji na mwenzake Tuisila Kisinda wote walikuwa wanakipiga ndani ya Klabu ya AS Vita, ya Congo.
Agosti 20, ambayo itakuwa ni siku ya Alhamisi wachezaji hao wanatarajiwa kutua timu Bongo kuungana na nyota wengine ambao walianza mazezi Agosti 10.
Septemba sita, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza na Yanga itaanza kurusha kete yake ya kwanza mbele ya Tanzania Prisons Uwanja wa Mkapa.
Wanaochukia Yanga post comments zenu
ReplyDeleteTuwachukie kwa kuwachukua hao wacheza mayenu ambao mikataba yao imeisha AS Vita na hawajaongezewa mikataba nyie babaikeni tu na jina AS Vita magarasa yapo kibao moja wapo ndo hayo mliyouziwa
DeleteUnachukia kwa lipi wakati dirisha la usajili linaendelea?
ReplyDeleteTonombe sio mshambuliaji ni kiungo mkabaji. Wacheni uzushi.
ReplyDeleteHao wataanza kuzomewa Katika mechi yao ya kwanza kama ilivo tabia ya gongonje
ReplyDeleteMimi ni shabiki lialia wa Mabingwa Simba SC. Nawapongeza watani zetu Yanga kwa usajili wanaoufanya utakaoleta ushindani kwa Mnyama na timu zingine. Safari hii tukiwapiga 5G hawatakua na kisingizio tena
ReplyDeleteWewe mkia matakoni hao wenu Nani alikuwa na mkataba? history inaonyesha Kama si takwimu hamjawahi kuvunja mkataba wa mchezaji yeyote paka shume,hata Samatta Mo aliwadhulumu Africa Lyon bishi mkia wewe
ReplyDeleteSawa tumekuelewa Choko mbabe
DeleteKwa taarifa huyo Onyango alikuwa mlinzi guest,la msingi mwombeni Salehe Ally na wenzake wajenge uhusiano nao wakifika ,maana ndo wanatumika kutuharibia Wachezaji.Kwa maana alitaka tubaki na Molinga
ReplyDelete