HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mchezo huu unachezwa leo Septemba 12, majira ya saa 10:00 jioni.
Tunataka kikosi cha mtibwa makanjanja nyie.
ReplyDeleteKwa Simba hii,tumeridhika kabisaa, roho kwatu. Hata kama akipiga hela kikubwa matokeo tunayapata uwanjani hiyo ndo kiu yetu
ReplyDeleteMatokeo kama hayo ee
Delete