HUKO England ndani ya Ligi Kuu mambo yataanza Septemba 12 namna hii:-
Fulham v Arsenal majira ya saa 8:30 mchana.
Crystal Palace v Southampton majira ya saa 11:00 jioni.
West Ham United v Newcastle United majira ya saa 11;00 jioni.
Liverpool v Leeds United majira ya saa 1:30 usiku.
0 COMMENTS:
Post a Comment