October 17, 2020


ANAANDIKA Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba kuhusu Jonas Mkude:-Msimu wa kumi huu wa kiungo fundi Jonas Gerald Mkude ndani ya kikosi cha kwanza cha Machampioni (mabingwa) wa nchi Simba SC.


Huwa nasema kila siku Jona sio Attacking midfielder wala Holding Au Defending Midfielder!!


Yeye ni mido halisi.Yaani amezaliwa kucheza eneo la kati tu, mara kadhaa viungo wa ushambuliaji au wa kuzuia huchezeshwa pembeni au mbele na hata katika nafasi za mabeki wa kati, ila sio kwa Master Jona.

 Yeye ni pale pale katikati ya dimba, kama sio namba sita basi hupangwa namba nane, hachezeshwi wing midfielder wala namba kumi au beki wa kati !! 


Kwangu mm huyu ndio King wa eneo la kati Tanzania na mbadala wake atazaliwa nchi hii mwaka 2150,yaani miaka 130 ijayo.


3 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic