October 17, 2020

7 COMMENTS:

  1. Hizi timu zetu huwa zinakosea sana kuanza na maneno mengiiiii mwisho wa siku mtu anatimuliwa. Chapa kazi na watu wataona uwezo wako. Ukiingia kazini kwa lengo la kushindana na timu moja utafeli, ingia kujenga timu yako iwe na uwezo wa kushindana na yeyote, sio simba au yanga tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vyura ndo kawaida yao maji jangwan telee
      waache waendelee na hzo krooo_kroooo _kroooo

      Delete
    2. Mikia kupinda..."go down"

      Delete
  2. Hawa vyura wanaponza na waandishi ambao pia ni wanachama wao kwani wanaopamba timu maneno mengi ukiingia uwanjani ni tofauti

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic