October 20, 2020

 


KIKOSI cha Simba leo Oktoba 20 kimeanza safari kutoka Mbeya kuelekea Rukwa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. 


Simba iliweka kambi kwa muda jana Oktoba 19 Mbeya na kilifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine kwa ajili ya mchezo wa Oktoba 22 dhidi ya Tanzania Prisons. 


Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ana kibarua cha kupambana na vijana wa Tanzania Prisons ambao wana hasira ya kupata pointi tatu mbele ya Simba baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 jana, Oktoba 19 dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Jamhuri.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic