TAARIFA kutoka Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) leo Oktoba 13 limetoa taarifa kuzikumbusha timu ambazo zinajiandaa na mechi za ligi kwa kucheza mechi za kirafiki katika uwanja unaotumika kwenye mechi za ligi kuacha kufanya hivyo.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha kanuni hivyo timu zinapaswa kuwa na uwanja wa mazoezi pamoja na uwanja wa kuchezea mechi za kirafiki.
TFF wanajifanya hawajui hali halisi ya nchi yetu. Lakini hata huko majuu kuna muda mechi za kirafiki zinachezwa kwenye vieanja vile vile vya ligi kuu. Kwani viwanja ni mali ya TFF hadi wavimiliki? Timu zinazomiliki vieanja hicyo zinahitaji mapato pia
ReplyDeleteHao viongoz wa tff wamekosa tu hela za mechi za kirafk ndo maan wanasumbua,
ReplyDeleteKama ndiyo hivyo basi hata hao TFF mechi ya star ya kirafiki watafute uwanja mwingine usio tumuka na mechi za ligi kuu
ReplyDeleteAcheni kunyanyasa watanzania,viwanja ni mali ya watanzania wote sio CCM au TFF sio ije siku wananchi wasusie kwenda uwanjani halafu mulipe madeni za wachina wenyewe
ReplyDeleteKwanini waliviruhusu kwanz
ReplyDeleteTanzania ya mpiraaaaaaa
ReplyDeleteNi upuuzi tuu
ReplyDeleteSimba walicheza kwenye uwanja wao wakafungiwa wameenda kucheza chamanzi tena mnakaataa sasa wakacheze kwenye sebule zenu? Mbona mpo hovyo hivyo mpira nchi hii hautaendelea hadi kiama cha mwenyezimungu kweli kwa kuwa hawa viongozi wa tff ni uwozo mtupu kila wanakuja ni uwozo kuliko mwanzo basi na ligi futeni mbaki nyinyi tff yenu hata sielewi kwa kweli
ReplyDeleteSimba wana uwanja wao wametengeneza kwa garama yao bado wananyanyaswa azam wanauwanja wao tena unakubalika kimataifa ama kwa sababu hao GONGOWAZI hawana uwanja? Ndio mnatufanyia hivyo? Upuuzi mtu wallah
ReplyDeleteKapimwe akili naona hazitoshi
DeleteHaahaaaa eti kwa kuwa Utopolo hawana uwanja wao???....tutake radhi mtani wakati mwingine muwe na adabu kwani jana hujafika jangwani na kuona kaunda stadium ilivyo-shamiri na swimming pools na sherehe za vyura wakishangilia kwa kukeraa.
DeleteWanataka pesa waibe wao ndio wanacho kitaka hakuna kingine
ReplyDeleteHivyo viwanja ni vyao? Ama chamanzi ni yao wao? Ama MO arena yakwao wao au kwa sababu hao GONGOWAZI hawana kiwanja ndio wanabebwa? Ujinga juu ya ujinga kwa kweli
ReplyDeleteWewe ndio mjinga wa wajinga,nani anaongea mambo ya yanga hapo?
Delete