VIDEO: BAO LA TANZANIA PRISONS WAKIWATUNGUA SIMBA UWANJA WA NELSON MANDELA HILI ndilo bao pekee la Tanzania Prisons lililosepa na pointi tatu mazima mbele ya Simba Uwanja wa Nelson Mandela, Oktoba 22
Timu za majeshi zingetafutiwa ligi zao,simba wamechezewa kibabe sana na refa wala hafanyi chochote inatakiwa uchunguzi ufanyike juu ya refa wa huo mchezo
ReplyDeleteHuyu refa aliharibu mechi ya kagera na yanga lakini hakupewa adhabu halafu bado anabebwa
DeleteMlichelewa kutoa hongo hamna lolote. Kwani mlifunga goli likakataliwa? Ubingwa ndio basi mwaka huu
DeleteKipa Manula apumzike kidogo ampishe Kakolanya naye ajaribu umahiri wake
ReplyDelete