November 10, 2020

 


NYOTA wa Klabu ya Simba, Clatous Chama ameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia ili akaitumike timu yake hiyo maarufu kama Chipolopolo.


Kwa sasa timu ya Zambia ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia.


Kiungo huyo ambaye amekuwa kwenye ubora ndani ya Bongo kwa msimu wa 2020/21 akiwa na pasi tano za mabao pamoja na kufunga mabao mawili ameitwa baada ya Enock Mwepu kuwa 'locdown'.


Kiungo huyo anatumika ndani ya Klabu ya Red Bull Salzburg kutokana na wachezaji wa timu hiyo sita kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona.

3 COMMENTS:

  1. lockdown not locdown, ni vyema pia kusema kuwa yuko karantini kutokana na mlipuko wa Corona maana kuna aina nyingi sana za lockdowwn.

    ReplyDelete
  2. Hongera Triple C kwa koxha kuelewa sababu ya wewe kushindwa kwenda kwenye mechi za kirafiki hadi akakuamini na kukuita tena. Zambia wapo viungo washambuliaji wengine ila ubora wako umekubeba.

    ReplyDelete
  3. Hongera Tripple C mwamba wa Lusaka, hatuna shaka na kipaj chako. Kaisadie Chipolopolo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic