SUALA la mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba limeendelea kuleta picha mpya baada ya uongozi wa timu hiyo kujibu waraka kuhusu kukwama kwa mchakato wa mabadiliko.
Uongozi wa Simba umekubali kufuata taratibu zote zilizowekwa na Serikali ili kufanikisha mchakato wa mabadiliko.
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Ushindani,(FCC) imekanusha taarifa inayodaiwa kutolewa na uongozi wa Simba iliyokuwa ikieleza kuwa tume hiyo inakwamisha mchakato wa uwekezaji ndani ya timu hiyo na badala yake umedai kuwa uongozi wa timu hiyo imekuwa ikijikwamisha yenyewe.
Tume hiyo ambayo ni taasisis ya Serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani Namba 8 ya 2003 (Sheria ya Ushindani) ili kusajiisha na kulinda ushindani wa biashara na kuwalinda walaji dhidi ya mienendo isiyo ya haki na ya kupotosha.
Baada ya waraka huo leo Simba imeweka wazi kuwa wapo tayari kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali ili kukamilisha mchakato wa mabadiliko.
Taarifa yao ipo namna hii:-
Inaonesha kumbe hata hawa FCC nao hawajielewi.Hebu tusubiri kuona baada ya Simba kukamilisha hayo waliyoambiwa FCC watakuja na ngonjera gani
ReplyDeleteInaonekana kabisa kuna tatizo ndani ya FCC. Na kinachosikitisha zaidi hii taasisi ni ya serikali.Wananchi wa Tanzania, wanachama na mashabiki wa Simba wakiwa miongoni mwa wananchi hao wa Tanzania wanaiamini serikali yao inayoongozwa Magufuli. Imani hiyo ya watanzania kwa Magufuli kutoka kwa watanzania imedhirishwa kwenye uchaguzi mkuu.Moja ya sifa kubwa ya serikali ya awamu ya tano ilikuwa ni uwezo mkubwa na wa ajabu wa kutatua kero na migogoto ya wananchi kwa haraka kwa maslahi ya Taifa. Chukulia suala moja tu la watu au wafanya biashara waliokutwa na hatia ya kuibia serikali fedha na wizi wingineo jinsi lililovyotatuliwa kistaarabu na kiuwazi zaidi na serikali ya Magufuli kwa waliohusika kutakiwa kurejesha pesa walizoiba ili wapate nafasi ya pili ya kuendelea na maisha na kuzalisha mali na kulijenga Taifa. Simba na vongozi wake wanaopigania mchakato wa mabadiliko ndani ya simba yaliopitishwa na wanachama wa simba jinsi wanavyoshughulikiwa na kuekewa ugumu na FCC,yaani zaidi ya wale wezi wa fedha za serikali kumbe ni suala la uwekezaji tu. Sheria sawa,ila Mo ni wa watanzania na simba ya Tanzania.Kampuni itakayoundwa ya simba ni ya TANZANIA na ni watanzania hivyo katika kuharakisha uundwaji wa kampuni ili simba ijiendeshe kibiashara kama kuna kasoro ndogo ndogo ndio mchakato mzima ufutwe? Badala ya kwenda kunako utendaji na kama kutakuwa hizo kasoro ndogo ndogo kurekibishwa. kinachocheleweshwa kitu gani? Hivyo kweli ni haki kufunga biashara ya duka kwakuwa uzani una matatizo? Tunaimani viongozi wa juu nchini wanaona na wanasikia nini kinaendelea kwenye hili suala la uwekezaji ndani ya simba. Kwanza kumekosekana uwazi ndani ya FCC na kama kunafanyika mambo ya kukomoana hivi.Ni maendeleo haya ndani ya nchi yetu yanayoekewa vikwazo yasiendelee.Salamu kwa Muheshimwa Raisi Magufuli hatumpangii kazi ila katika hili suala la waziri wa masuala ya michezo basi tunamuomba amteuwe waziri mweledi na Mbunifu kweli kweli kwani kwenye masuala ya michezo sisi Tanzania ni wa hovyo kabisa kwa kila mchezo si Mchezo wa mbio watanzania hatuna kitu. Si mchezo wa mpira sisi watanzania hatuna kitu. Si mchezo wa ngumi sisi watanzania hatuna kitu ingawa tunavipaji vingi. Kiujumla Tanzania kwenye michezo ni zero.Ingawa faida ya michezo kwa ustawi wa jamii na Taifa haupimiki.Nchi yetu ina vivutio vingi vya kitalii, ubora wetu kwenye michezo kimataifa utalitangaza taifa letu Duniani milele mfano mzuri Brazil hawana shida ya kuitangaza nchi yao wageni ndio wanaoitangaza. Hata hao jirani zetu Kenya hawana vivutio vya kitalii kama Tanzania ila umaarufu wa wanariadha wao umetosha kuing'aisha kenya kimataifa. Kwa hivyo wizara ya michezo ni muhimu tena sana na inashangaza kuona watu au taasisi inayotaka kuchukua jitihada za dhati za kuinua michezo nchini wakiekewa ukiritimba.Nasema tena kama sheria zetu za uwekezaji zinaruhusu taasisi ya uwekezaji kukaa na shauri la uwekezaji kwa miaka mitatu bila kulipatia ufumbuzi basi sheria zetu hizo zinalengo la kutudumaza kimaendeleo na haikubaliki.
Deleteulivyoandika gazeti nilidhani ni hoja kumbe siasa.
Deletesasa unataka Magufuli aingilie kwenye Mpira? poleni
Wewe fala kweli wewe unafikili jangwani kunamambumbu kama kwenu kkk wewe
ReplyDeleteMbumbumbu ni wewe usiejua hata kutafakari nini mwenzio ameandika.Nawasikitikia wazazi wako kwa kutuletea nyumbu duniani ambae ubongo wake umejaa kamasi
DeleteJagwani hakuna mambumbumbu bali kuna matahaira yanayoongopewa kila siku mara tumeenda CAS mara FIFA yenyewe yamekaa tuu yanasubiri kesi FIFA hao ndi matahira wa JANGWANI, ila welevu wa Simba tumekaa kimya tunawaangalia mnavyopiga kelele kwa vitu ambavyo hata haviwahusu kenge wa mwisho
DeletePambaneni na hali zenu ya jangwani wachieni wenyewe
ReplyDeleteUtopolo bdo mnaakili ndogo hakuna sehemu kwenye maelezo yake amewataja utopolo lkn mnaanza kushoboka na kumtukana aliyetoa maoni yake. Tafakarini vzr mzimu wa manji unawatesa kwelikweli yaani tokea awape talaka mbaweweseka mpka leo/sasa mlizoea kulishwa na kupetiwapetiwa. *Utopolo poleni talaka Ni sehemu ya maisha*
Deletewanajichanganya tu, umeona simba walichijibu?
ReplyDelete