November 11, 2020

 


MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo nyota wa Klabu ya Simba, Clatous Chama,basi atawasaidia Yanga kutokana na ubora alionao.

 

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazomhusisha kiungo huyo wa Simba kuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga ili kujiunga na timu hiyo.


 

Akizungumza katika mahojiano maluum ya +255 Global radio yaliyoruka mubashara kupitia Global TV Online, Kashasha amesema: “Kama ni kweli Yanga watafanikisha usajili wa Chama kama ambavyo tetesi zimekuwa zikieleza, basi utakuwa usajili bora, na naamini atakuwa msaada mkubwa kwao.


"Miongoni mwa wachezaji bora na wenye nidhamu ni Chama, uwezo wake ndani ya uwanja umekuwa ukionekana hivyo nguvu zake zikiongezwa ndani ya Yanga basi timu hiyo itafanya vizuri kwenye mashindano itakayoshiriki," amesema.


15 COMMENTS:

  1. Huyu kashasha si alikuwa anasema Chama anacheza na majukwaa mbona amegeuka utopolo akili zao wanazijua wenyewe

    ReplyDelete
  2. kuna wachambuz wa bongo vichwa vyao vina mavi ya nguruwe

    ReplyDelete
  3. kuna wachambuz na waandishi bongo vichwa vyao vina mavi ya nguruwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawana tofauti na kichwa chako maana inaonesha cha kwako kimejaa funza wa chooni

      Delete
  4. Haka kazee kamekaa kichawichawi kichwani hamna kitu

    ReplyDelete
  5. Yanga anafaa, simba hafai. Hapo unajua mlengo wake ni upi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utopolo mchangani, Simba kimataifa atakuwa kiazi Kama atakwenda utopolo mchangani

      Delete
  6. Chama anaingia kwenye miezi sita ya mwisho ya mkataba wake hakuna anaeweza kumzuia kuongea na team yoyote so he will ask teams kuweka ofa mezani hata utukane vipi anajua umri unaenda so he want to seal a good deal sasa kila mtu na ofa yake yeye atapima na zambia njaa ipo vile vile, lakini sio useme hawezi kutoka hapo anapocheza sasa wakati Coach mwenyewe kasema hawezi kumuingilia ni maamuzi yake na rules na mkataba unamruhusu kishingo aliongea very professional kuhusu mkataba wa clotus ila aliboronga siku ya team news, very unprofessional kusema mchezaji hatokuwepo alafu yupo kwenye list, mbele fine inakuhusu bongo tifua tifua, kweli kile ni kishingo kulitakiwa kukatwa -:))))

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna mahali Kishingo alisema Chama hatacheza mechi na yanga rusha hiyo clip kama unayo,ndio maana niliandika kupinga hizo habari nikasema habari za kuzushi na chama atacheza na kweli akacheza.

      Delete
  7. Endeleeni na hayo matamko kama vile mtoto wenu baada ya kumpa mkataba mpya? Mnatowa matamko kama okwi ilikuwa hivyo yanga wamchukuwe endeleeni na matamko yenu ya kijinga haya

    ReplyDelete
  8. Nawahakikishia chama haendi yanga time will tell

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno ya Hersi kuwa GSM hawajawahi kushindwa kitu na kwamba watu wasubiti watajua tu kuwa Chama atachezea timu gani ndiyo yanakoleza uwezekano kuwa Chama ameshaonesha dalili za kukubali kusaini Yanga. Cha muhimu mchezaji aamue kwa usahihi asifuate upepo wa Yanga kuikomoa Simba. Aulizie fitna za mpira kati ya timu hizi mbili. Hii ni TZ siyo Zambia ajue hilo

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic