November 21, 2020

3 COMMENTS:

  1. Habari ndugu zangu wa TANZANIA: Je kunaswali kuhusu kikosi cha leo ? Tunahitaji na kumshauri kocha wetu aendelee kukitumia kikosi chote wachezaji wote wacheze kila inapopatika nafasi Golikipa Kakolanya apangwe ACHEZE SI DHAMBI KUFANYA SUB YA KIPA, Kahata, Kenedy Juma, Bwalya ajitahidi kuwa makini siki zakaribu pasi zake nyingi zinapotea bila sababu za msingi, Ame, Gadiel Mzamiru wote tunahitaji wacheze ili wawe fiti zaidi. Hongera Kocha Seven na Benchi lote la Ufundi la Simba Sc. Tunafurahi kuona unavyo amrisha timu icheze kwenda kufunga bao za kutosha, jumla ya Mabao 29 kwa Match 11 ni mtaji mzuri sana, yule jirani anazo 10 hadi sasa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic