KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA PLATEAU UNITED KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Novemba 29 dhidi ya Plateau United, Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali
Tunashukuru kwa kutupatia Lineup ya Timu a Simba hakika tulitarajia iwe hivi hivyo tunaimani na Kocha, Wachezaji na viongozi wetu wa Simba Sc ya Tanzania.
ReplyDeleteAll the best guys
ReplyDeleteSimba nguvu moja pambaneni kwa ajili ya Watanzania hakika tupo pamoja nanyi dk zote 90
ReplyDeleteKila la kheri wawakilishi wa nchi yetu tuko nanyi tunaomba MUNGU attendee makuu tupate ushindi.
ReplyDeleteErasto Nyoni kumbe Yuko vzr hata number 8 ?
ReplyDeleteSimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa piga hao
ReplyDeleteKila lakher chama langu nguvu moja
ReplyDelete