November 16, 2020


 KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck leo Novemba 16 kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Sports utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex.


Kwenye mchezo wa leo kuona maujanja ya Pascal Wawa, Ibrahim Amen na Ibrahim Ajibu ni buku tatu tu, (3,000).


VIP itakuwa buku tano (5,000). Mchezo wa leo utachezwa saa 1:00 usiku.  

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic