November 29, 2020


 
FT: Plateau United 0-1 Simba

Uwanja wa New Jos

Dakika ya 90+6 Wawa anaokoa hatari
Dakika ya 90+5 Chama anakwenda nje anaingia Ibrahim Ame Mohamed
Dakika ya 90+4 Morrison anachezewa ndani ya 18 waamuzi wanatofautiana, wa kati anasema goal kik wa pembeni anasema penalti
Dakika ya 90+3 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 90+2 Chama anaacha mpira ndani ya 18
Dakika ya 90+1 Bocco anampa Mkude, Nyoni, Wawa, Kapombe, Mzamiru
Dakika ya 90 Morrison anadhibitiwa ndani ya 18, Manula anaokoa hatari 
Dakika ya 89 Issa anapiga mpira unakwenda nje eneo la Manula
Dakika ya 88 Wawa anatoa mpira nje
Dakika ya 87 Mzamiru anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 86, Benard Morrison anasabisha kona
Dakika ya 85 Manula anaanzisha mashambulizi kwenda Plateau United
Dakika ya 84 Kapombe anaokoa hatari
Dakika ya 83 Manula anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 82 Plateau United wanakosa nafasi ya kumtungua Manula
Dakika ya 81 Andrew anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 80, Bernard Morrison anaingia anatoka Hassan Dilunga
Dakika ya 79 Wawa anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 78 Luis anasepa na kijiji ila anazuia kuleta hatari
Dakika ya 77 Sunday anamchezea faulo Kapombe
Dakika ya 76 Manula anaokoa hatari kisha Kapombe anaianua jumla
Dakika ya 75 Chama anampa Luis, Chama anacheza fair play baada ya kuona mlinzi wa Plateau United yupo chini
Dakika ya 74 Kapombe anachezewa faulo
Dakika ya 73 Dilunga anacheza faulo inapigwa kwenda lango la Simba na Tshabalala anaunawa tena mpira
Dakika ya 72 Chama anakosa nafasi ya wazi na kupoteza nafasi ya kufunga bao la pili
Plateau United wanafanya vitendo visivyo va kiungwana kwa watangazaji ndani ya uwanja kwa kuwamwagia maji na unga mweusi ambao haueleweki ni nini
Dakika ya 70 Mkude anapeleka pasi kwa Kapombe, Yassin inakutana na wana Plateau United
Dakika ya 67 Bernard anacheza mpira unakwenda nje mazima
Dakika ya 66 Sunday anakosa nafasi ya kumfunga Manula
Dakika ya 65 Kapombe anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 64 Manula anaokoa hatari langoni pake 
Dakika ya 63, Onywaa anatoka anaingia Sunday Antony kwa Plateau United
Dakika ya 62 Luis anacheza faulo, inapigwa kwenda kwa Manula
Dakika ya 61 Plateau United wanakosa nafasi ya kufunga
Dakika ya 60 Tshabalala anapiga faulo, Luis anataka kusepa na kijiji mambo yanakuwa magumu
Dakika ya 59 Kapombe ananawa mpira
Dakika ya 58 Mkude anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 57 Luis anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 56 Luis anachezewa faulo 
Dakika ya 55 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 53 Gooooal Clatous Chama kwa pasi ya Luis
Dakika ya 52 Kapombe anampa Chama wanaifuata Plateau
Dakika ya 51 Manula anaokoa faulo
Dakika ya 50 Denis Nyaa wa Plateau United anamchezea faulo Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 48 Plateau wanacheza kona 
Dakika ya 47 Kapombe anapeleka mashambulizi kwa Plateau United
Dakika ya 46:-Mzamiru Yassin anaingia anatoka Joash Onyango

Kipindi cha pili, Ligi ya Mabingwa Afrika

Uwanja wa New Jos

Ligi ya Mabingwa Afrika

Novemba 29, hatua ya awali

Kipindi cha kwanza


Plateau United 0-0 Simba

Mapumziko

Dakika ya 45+3 Mapumziko

Dakika 45+2 Plateau United wanapeleka mashambulizi kwa Simba

Dakika ya 45 Adam Abubakari anadaka faulo ya iliyopigwa na Luis, Tshabalala anaonyeshwa kadi ya njano, Bocco anachezewa faulo na wana Plateau United.

Dakika ya 44 Dilunga anapoteza nafasi na Kapombe anachezewa faulo

Dakika ya 43 Tshabalala anarusha kwa Bocco 

Dakika ya 42 Manula anapeleka mashambulizi kwa Plateau United

Dakika ya 41 Plateau United wanapata kona inapigwa na haizai matunda

Dakika ya 40 Dilunga anapoteza umiliki wa mpira baada ya kupewa pasi na nahodha Bocco

Dakika ya 39, Dilunga anachezewa faulo

Dakika ya 38 Plateau wanakosa nafasi ya kuifunga Simba

Dakika ya 35 Onyango anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 34 Onyango anaokoa hatari 

Dakika ya 33 Mlinda mlango wa Plateau Abubakari Adam anaokoa hatari

Dakika ya 32 Manula anaokoa hatari

Dakika ya 31 Luis anaokoa hatari iliyokuwa inamfuata Manula

Dakika ya 30 Plateau wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 29 Onyango anaokoa hatari

Dakika ya 27 Abha Omari anapelekea mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 25 Plateau United wanarusha mpira kuelekea kwa Simba

Dakika ya 20 Manula anachezewa faulo

Dakika ya 18 Plateau wanapiga kona haileti matunda

Dakika ya 17 Luis anacheza faulo

Dakika ya 16 Jonas Mkude anachezewa faulo

Dakika ya 15 Kapombe anampa pasi Bocco

Dakika ya 13 Plateau United wanapiga kona haizai matunda

Dakika ya 10 Manula anaokoa hatari langoni mwake 


Dakika ya 7 John Bocco anafanya jaribio linakwenda nje ya uwanja


Kutoka U: FM 107.3

10 COMMENTS:

  1. Kwisha jeuri yao.Ukileta ngebe uwe na uwezo sio mikwara kibao huku unategemea nguvu za wapambe.

    ReplyDelete
  2. Safi kabisa tunawasubiri machinjioni wao walitaka usionyeshwe sasa wasubiri goli 5 zionyeshwe live waone kwao wajinga hao

    ReplyDelete
  3. ndugu zangu wakuu wsheshimiwa wa UD Songo mpoo? moja moja ni ya ugenini. Sio uwanja wa nyumbani

    ReplyDelete
  4. Utopolo wamekasirika kama wao ndo wamefungwa.

    ReplyDelete
  5. Safi sana na Hongera Simba SC, Mnyamaaaaa

    ReplyDelete
  6. Loving u the king of Tanzania @ Simba Sports Club.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic