Hivi kweli hata kama ni kufuata pesa nyingi Chama atakubali kutoka timu moja kwenda timu nyingine hapa Tanzania? Tusimfananishe na ....... Chama ni mchezaji anayejitambua sana.
Gazeti la hovyo kuwahi kutokea. Jana liliandika kuhusu mshahara wa kufuru atakaopokea akiwa Simba. Leo Chama yule yuule amekuwa mchezaji Yanga? Mnakwama wapi wamiliki wa vyombo hivi vya habari?
Ni ukosefu wa weredi na uandishi wa ovyo. Kila kukicha usajili tuu. Waacheni timu zicheze mpira. Lini mpira utachezwa kama kila siku tunasajili? Huko mnakisomea taaluma mnajifunza nini? Uandishi au umbea?
😆😆😆😆 utopolo Morrison anawaumiza mpaka leo. Endeleeeni kudanganywa na GSM tu. Mwenye akili kashatambua asiye naakili nzuri zakuzaliwa ataendelea kuwaamini wa wapi tetesi za shiboub,kotei,sure boy,makambo wote GSM walichemka hawana mpunga wakutosha, wanampunga wakuokota wachezaji toka zenji na usanii au wapewe kwa mkopo.
Haya ni maneno yako ili uze gazeti lako
ReplyDeleteHivi kweli hata kama ni kufuata pesa nyingi Chama atakubali kutoka timu moja kwenda timu nyingine hapa Tanzania? Tusimfananishe na ....... Chama ni mchezaji anayejitambua sana.
DeleteGazeti la hovyo kuwahi kutokea. Jana liliandika kuhusu mshahara wa kufuru atakaopokea akiwa Simba. Leo Chama yule yuule amekuwa mchezaji Yanga? Mnakwama wapi wamiliki wa vyombo hivi vya habari?
ReplyDeleteHaya magazet ya huyu bwana habari zake nyingi miezi hii zimekuwa za kimtazamo zaidi ya uhalisia.
ReplyDeleteNi ukosefu wa weredi na uandishi wa ovyo. Kila kukicha usajili tuu. Waacheni timu zicheze mpira. Lini mpira utachezwa kama kila siku tunasajili? Huko mnakisomea taaluma mnajifunza nini? Uandishi au umbea?
ReplyDeleteUongo mtupu,hili gazeti vipi??
ReplyDeletekwanini usiende kwa millard ayo akufundishe jinsi ya kuandika habari za uhakika
ReplyDeleteHuyu ni mwanachama wa utopolo lialia ameshindwa kutofautisha mapenzi na weledi wa kazi halafu wanalalamika serikali ikifungia magazeti
ReplyDeleteKuanzia leo sitasoma gazeti lenu wala sitaingia kwenye page hii kwa kuwa upuuzi umezidi!
ReplyDelete😆😆😆😆 utopolo Morrison anawaumiza mpaka leo. Endeleeeni kudanganywa na GSM tu. Mwenye akili kashatambua asiye naakili nzuri zakuzaliwa ataendelea kuwaamini wa wapi tetesi za shiboub,kotei,sure boy,makambo wote GSM walichemka hawana mpunga wakutosha, wanampunga wakuokota wachezaji toka zenji na usanii au wapewe kwa mkopo.
ReplyDelete