Tulitarajia habari za Taifa stars zingehanikiza hapa kwenye hii blog na kuleta mijadala yenye afya kwa timu yetu ya taifa leo na hata mechi iliyopita kule Tunisia ambapo tulipoteza.lakini ndio kwanza tunaona inaletwa mijadala ya usimba na uyanga. Saleh unapoteza umakini na sitaki kwenda mbali kukuita mnafiki juu ya uzalendo kwa timu yetu ya taifa. Kuhusu masuala ya ufundi kwenye timu timu yetu ya taifa kama kocha atamtegemea Boko Dakika zote tisini kufunga bao basi sioni Taifa stars ikipata ushindi zidi ya Tunisia. Kocha na washauri wake akina Matola na Haroub Canavaro wanatakiwa kumshauri kocha kupanga wachezaji wenye uzoefu wa mechi za kimataifa na waliokwisha thibitsha ubora wao kwenye mechi hizo.Ukiangalia pale simba mchezaji kama Dilunga hazungumzwi sana ila huyu ni miongoni mwa wachezaji wachache wenye kuweza kuamua mechi hasa mechi kubwa. Kama ningekuwa kocha wa taifa stars basi kamwe nisingemuacha Kevin John ni kijana mdogo lakini akiki yake ya mpira ni kubwa kuliko wachezaji wengi wa stars. Idi Nado sawa lakini hawawezi kuvaa viatu vya Dilunga kwenye mpira wa malengo. Kama Tomasi Ulimwengu yupo fiti kwanini akae Benchi? Kama Ndemla yupo fiti kwanini akae Benchi? Kwa wenzetu mchezaji kama Ndemla angepewa mazoezi maulum ya kupiga mipira ya kushtukiza kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupiga mashuti yaliyoshiba. Kupanga ni kuchagua na hata mapenzi kama utakuwa unafanya kwa staili ile ile tu bila kubadilika basi usipokimbiwa utadharauliwa.Ushindi mwema Taifa stars.
Mnataka kuuza gazeti lenu tuu kwa kuandika habari za kubumba
ReplyDeleteHabari za chama zimeisha mnazusha nyingine
ReplyDeleteUzushi Hauna maana, tuzungumze ukweli.
ReplyDeleteSi furahishwi na taarifa za namna hiyo ndio maana katika lundo kubwa la Magazeti nililo nalo GAZETI hilo halimo hata nakala moja.
ReplyDeleteTulitarajia habari za Taifa stars zingehanikiza hapa kwenye hii blog na kuleta mijadala yenye afya kwa timu yetu ya taifa leo na hata mechi iliyopita kule Tunisia ambapo tulipoteza.lakini ndio kwanza tunaona inaletwa mijadala ya usimba na uyanga. Saleh unapoteza umakini na sitaki kwenda mbali kukuita mnafiki juu ya uzalendo kwa timu yetu ya taifa. Kuhusu masuala ya ufundi kwenye timu timu yetu ya taifa kama kocha atamtegemea Boko Dakika zote tisini kufunga bao basi sioni Taifa stars ikipata ushindi zidi ya Tunisia. Kocha na washauri wake akina Matola na Haroub Canavaro wanatakiwa kumshauri kocha kupanga wachezaji wenye uzoefu wa mechi za kimataifa na waliokwisha thibitsha ubora wao kwenye mechi hizo.Ukiangalia pale simba mchezaji kama Dilunga hazungumzwi sana ila huyu ni miongoni mwa wachezaji wachache wenye kuweza kuamua mechi hasa mechi kubwa. Kama ningekuwa kocha wa taifa stars basi kamwe nisingemuacha Kevin John ni kijana mdogo lakini akiki yake ya mpira ni kubwa kuliko wachezaji wengi wa stars. Idi Nado sawa lakini hawawezi kuvaa viatu vya Dilunga kwenye mpira wa malengo. Kama Tomasi Ulimwengu yupo fiti kwanini akae Benchi? Kama Ndemla yupo fiti kwanini akae Benchi? Kwa wenzetu mchezaji kama Ndemla angepewa mazoezi maulum ya kupiga mipira ya kushtukiza kutokana na uwezo wake mkubwa wa kupiga mashuti yaliyoshiba. Kupanga ni kuchagua na hata mapenzi kama utakuwa unafanya kwa staili ile ile tu bila kubadilika basi usipokimbiwa utadharauliwa.Ushindi mwema Taifa stars.
ReplyDeleteYa Chama mmeumbuka, aibu, mmeshushuka. Sasa mmeanza ya Saido. Hivi hakuna timu nyingine ya kuandikwa zaidi ya Yanga na Simba?
ReplyDelete