December 18, 2020

 


FIFA (Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu) imetoa benji kwa waamuzi 17 wa Tanzania kwa mwaka 2021.

Miongoni mwa marefa ambao wamepewa beji na FIFA ni pamoja na Martin Saanya, Hery Sasii ambaye amekuwa gumzo kutokana na penalti tata kwenye mchezo wa Simba v KMC.


Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Simba ilishinda bao 1-0 lililofungwa na Meddie Kagere baada ya mwamuzi wa kati kuamua ipigwe penalti kwa kudai kwamba wachezaji wa KMC waliunawa mpira ndani ya eneo la 18.


Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza namna hii:-


14 COMMENTS:

  1. alitoa penalti ndani ya 18..Sheria ilishabadilika sasa hivi mkono ukiguswa ni penalti.hakuna cha mpira kufuata mkono...

    Kuna timu inafirahia matunda ...pointi ya penalti mbili dhuruma haramu zilizotolewa nje ya 18 ikicheza na KMC pia na Simba

    ReplyDelete
  2. Na yule aliyetoa peneti kuipa Yanga dhidi ya Simba iliyoshuhudiwa na wote kuwa haikuwa ya halali pia jina lake lituwe FIFA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiishie tu kusoma kichwa cha habari;soma na habari yenyewe ndo utapata picha halisi ya nini mwandishi amekusudia.Sijui mwandishi amekusudia nini kuweka kichwa cha habari ambacho hakiendani na habari yenyewe

      Delete
  3. Kwani hii ndio penati ya kwanza Tanzania? Kuna refa alitoa mpira wavuni akaweka kona, huyu jee?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga ikicheza na Lipuli..Mpira umevuka mstari kwenye goal post metacha akaurudisha.Mwaamuzi akasema ni kona.Bado na kubebwa hawakuchukuwa ubingwa..Wanaobebwa hapa Tanzania wanajulikana..Penalti mbili za faulo za nje ya 18...na wako kileleni

      Delete
  4. Mtajitahidi kueleza ,hapa Azam TV waache bias hawaiwezi Yanga .Hiyo mechi ya Lipuli ki ukweli hata Ile faulo ukiangalia ilitakiwa ielekezwe Lipuli Makapu alichezewa faulo .Lkn badala yake ikaelekezwa Yanga.mpira ule haukuvuka mstari hapa ni technologia ya Azam cse tuulize sheria linapo kuja issue za Yanga wanajifanya mafundi wa kujua Sana that's why mpaka hizo picha za Penalt ya Simba na KMc hawatoi picha ya nyuma ya goli.Hapa namaanisha Nini Azam washindane na Timu zote not Yanga ,cse Kama wanadhani Yanga ni Timu nyepesi waulize msimamo wa Ligi wanajitahidi hata kuweka vipindi vya kutetea Simba.Hapa Vita ni upotoshaji wa ukweli refer mechi ya Namungo Simba Na Polisi na Simba maamuzi yake mpaka adhabu inatoka ki woga anaadhibiwa refa wa Namungo bt wa Polisi kimya lkn kwa akili mbovu utajua ni ku mplease PM cse yeye Namungo halafu Simba refer hotuba yake ya kufunga BUnge la budget hili kutuzuga mi nadhani yule mwamuzi msaidizi mechi ya Yanga na Lipuli aliamua hivyo hili tuendelee kusema mbona hata ninyi mwaka Jana ilikua hv.Huyo refa wa juzi aliamua kujiripua kisa Mwananchi pressure yake inachanganya na Karia na Board yake ya Ligi wanachanganyikiwa,Kama Timu haichezi vizuri bt still inashinda je ikicheza vizuri itakuwaje,hata ratiba ilikuwa ni kupoteza Yanga ikose mwelekeo sijui mikoani hata KMC acheze na Yanga Mwanza eti mapato huku ni mipango ya kuikosesha mwelekeo Yanga Ratiba ngumu unatokea mikoani then Simba ,Azam, Namungo,Jana wameonewa eti wanajifanya professional huyo Kondo tu refer Comment zake once anakosoa maamuzi against his Team (comment KMC Vs Kagera then Yanga),unataka kuniaminisha kwamba alifundwa na ki vipi cse mpirani unafundwa kwa adhabu (refer board ya ligi )lini Alipewa adhabu?,Hapa refa alijitoa mhanga akatoa pass ya mwisho,akijua Nini kitatokea ni maneno tu na inawezekana hata huo uozo wake usionyeshwe .Mwisho wazee wa Biriani mjitathmini Mwananchi Ana kasi na pira lake la Roll kukatika breki.

    ReplyDelete
  5. Ramadhani kayoko alitoa penati isiyo halali yanga na kmc lakini mwandishi sababu ni utopolo hajaandika mwamuzi aliyetoa penati ya uongo kmc na yanga apewa beji ya fifa fifa mwan tunajua ni mwanachama wa yanga lakini usilete mapenzi yako kwenye kazi

    ReplyDelete
  6. Sikiliza wewe unayejifanya kujua hata hii blog kwetu watu wa Yanga ni ukakasi ndiyo maana mna movement za chini za kulazimisha Timu yenu iwe Bora,n
    Mfano leo Kichwa Cha habari kuhusu Man u ,ni mawazo yako ni Skysports wame suggest Lkn ni Swali Kama wiki ile mala Chelsea,tena Totneham lkn kwa akili yangu being title contender haina maana ya Kiswahili na Heading yako,Lkn wengine Kuna siku tutakuhukumu kwa utapeli wa mtandao ni Kama Kila commrnt zetu mna benefit

    ReplyDelete
  7. Ok Penalt ya uongo moja sawa na hizo mechi Morrison anaangushwa akiwa Yanga no Penalt ,hapa kwangu nahitaji majibu ya maelezo yangu marefu na kinachoendelea usinijibu kwa eti enzi za Malinzi ,happy nitakwita Sassi.Kumbuka rufaaa ya Kagera na Simba Yanga inabeba Ubingwa kwa point ushahidi was edited Emails.

    ReplyDelete
    Replies
    1. rufaa ya simba TFF ilitupiliwa mbali Malinzi akidai walichelewa hawajalipia ada ya rufaa. Ni dhahiri endapo ingesikilizwa Simba ingekuwa bingwa,Ndiyo maana Simba walikataa rufaa fifa...ambao wslisema hawaingilii maamuzi ya TFF.
      Siyo kila anayeanguka ndani ya penalti box huwa ni penalti..Washambuliaji wengi..okwi, luis na hata morrison hupenda kujiangusha...Morrison hata sasa amezidi kujiangusha..Tausi la alijiangusha nje ya kumi na nane Yanga wskapewa penalti dhidi ya Simba

      Delete
    2. Yanga ilibeba ubingwa kwa pointi baada ya Simba kudhurumiwa pointi halali..endapo rufas TFF ingesikilizwa basi Simba ilikuwa inaizidi point Yanga

      Delete
  8. Pointi halali wakati Kamati ya kuamua no haya ya Hans Pope na Kamati yake Tff, ukweli ni kwamba mli forge Email (Edit) na usisahau Athumani Iddi crame,Singano hata la Sasa la Kichuya ,mnaitwa wazee wa Football Fitna,MBADILIKE kwa kifupi ,huyo refa mnayesema aliwaonea mechi ya Prison aliwahi kumaliza mpira mnacheza na Mwadui ilipigwa counter moja akaona amalize mpira kwa ku dive Kama goalkeeper ili mradi Mwadui asifunge,eti leo Adui wa Mikia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shauri la Simba halikusikilizwa...lilitupiliwa mbali na Malinzi na Mwesigwa..
      Shauri la juzi la Morrison lilisikilizwa ingawa kwa taabu ...siku 3..Hans pope alikuwepo na Mwenyekiti ni wa Yanga..Vipi mil 600 za Morrison zilishafikaa?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic