December 2, 2020

 


TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo Desemba 2 itacheza mchezo wa fainali wa Michuano ya Cecafa dhidi ya Uganda.


Ngorongoro Heroes ilitinga hatua ya fainali baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sudani Kusini.


Inakutana na Uganda ambayo ilishinda mabao 3-1 dhidi ya Kenya mchezo wa hatua ya nusu fainali iliyochezwa Uwanja wa Black Rhino, Academy Karatu.


Fainali hiyo itachezwa Uwanja wa Black Rhino Arusha kabla ya kuchezwa fainali hiyo kutakuwa na mchezo wa play off kumsaka mshindi wa tatu kati ya Kenya na Sufani Kusini.

2 COMMENTS:

  1. Kila lakheri ngorongoro heroese na Tanzania yote. Ushindi Ni muhimu kicheko kila mtaa Simba,Namungo huku ngorongoro yaani Raha tupu

    ReplyDelete
  2. tunafahamu ubora wa Timu ya Vijana ya Uganda, hata hivyo tunamatumaini makubwa na Timu ya Ngorongoro ya Tanzania. Angalia Kocha Mkuu wa Timu ni Jamhuri Julio huwa hana masihara na amecheza, anaujua mpira amefundisha timu nyingi nchini - Ubingwa tunausubiri nyumbani TANZANIA 2020.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic