KIKOSI cha Simba ambacho kimekwea pipa leo Desemba 18 kuifuata FC Platinum ya Zimbabwe.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Desemba 23 nchini Zimbabwe ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Desemba 23 nchini Zimbabwe ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza
Tunaimani na Kikosi nendeni mkafanye kazi Mungu yupo pamoja nanyi(s) Tanzania.
ReplyDeleteMorowsoni utajuta ujaijua Bongo weye atii nawakeraaa malipo hapa hapa
ReplyDeleteAtajuta na nini sasa?, yani washabiki wa Yanga wana wawaza wachezaji wa simba kila wakikirupuka mara Chama mchezaji wetu , mara morrison , mara miquison haraudi tena simba
Delete