TIMU ya Plateau United imewasili leo Desemba 4 ikitokea nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kesho wa marudio dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.
Mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni wa hatua ya awali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote mbili zinasaka nafasi ya kusonga hatua ya mtoano ili kuweza kufikia hatua ya makundi.
Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Nigeria, Novemba 29, Simba ilishinda kwa bao 1-0 ikiwa ugenini ina kibarua cha kulinda ushindi wake ikiwa nyumbani.
Plateau United ilipokelewa na mashabiki wake wa Tanzania ambao walikuwa wamevaa jezi za njano ambao waliwapokea kwa kuwaimbia nyimbo.
Hao kandambili walio enda kuwapokea wasisau kuwasindikiza wakati wa kurudi wakishafungwa
ReplyDeleteNi Mashabiki wa plateau Tanzania au mashabiki wa Yanga? Naona usaliti umetamalaki ndani ya Taifa letu la Tanzania kuanzia Taasisi zenye Mamlaka husika hadi kwenye vyombo vya habari. Inakera, Kuna wale naomlaumu na kumsema Haji Manara vibya kwa kauli yake ya kuwataka mashabiki wanaoitakia maendeleo Tanzania na simba ndio wanaopaswa kwenda kuishangalia simba kwa Mkapa stadium lakino wanaomkosoa kushindwa kukemea huu upuuzi wa hovyo wa mashabiki wa Yanga.Mashabiki wa yanga walianza kutukana hovyo wakaachiwa wakawapiga
Deletemashabiki wa timu nyengine wakaachiwa,Leo wanawapokea na kuwapa mikakati wapinzani wa samba plateau kutoka Nigeria mchana kweupe ya kuhakikisha simba anafungwa nyumbani lakini hakuna anaekemea watu wanachukulia poa tu.Ndani ya Mioyo ya Mashabiki wa simba kuna moto unafukuta juu ya mambo yote haya ya hovyo yanaofanywa na mashabiki wa Yanga kwa timu yao na kufanyiwa wao wenyewe binafsi na wakiendelea kushuhudia hakuna hatua au juhudi za mfano zozote zinazochukuliwa kukomesha mambo haya ya kijinga yanayofanywa na mashabiki wa yanga. Niziambie tu maamlaka husika wakiendelea kuchukulia poa hii tabia basi siku si nyingi wataliingiza taifa kunako maafa na wasije wakasema hawakuwa wakiambiwa.kwanza kabisa wanapaswa kumshukuru Haji manara kwa kuwatahadharisha mashibki wanaotaka kwenda kwa mkapa kuwashabikia wageni bora kukaa nyumbani na kuangalia mpira huo kwenye TV.Kamwe kauli ya Haji manara isichukuliwe kama ni uchechezi bali ni kauli nzuri kabisa ya kuepusha shari. Simba hawana
na hawatakuwa na uwezo wa kuwazibiti maelfu ya mashabiki wao wakija kulipuka kwa hasira kwa mashabiki wa upande wa pili watukutu.sidhani hata vikosi vyetu vya usalama pale uwanjani vitakuwa na ubavu wa kudhibiti maelfu ya mashabiki wenye hasira fujo ikitokea ila tahadhari kuchukuliwa mapema mfano wa kauli ya Haji Manara ni bora zaidi kuna siku watu watakuja kumkumbuka Manara.
Imechochewa na msemaji + kibebwa na FFF. Somo Tstars kizomewa = Hasira
DeleteUto Ni kumbukeni kbs, ndo maana wanaishia kushangaa wenzao wanapanda ndege kimataifa wao macho Kodi 😲😲😲😲
ReplyDeleteLimbukeni kbs uto kudadadeki.
ReplyDeleteKweli nimeamini ukiwa shabiki wa yanga kuna kitu unapungukiwa kichwani. Hio shida yote ya nini kuhangaika na mtu asiyekujua? Hii ni aibu kwa tz, wanatuona kama mazobe vile. Unajirahisisha kwa mgeni tukuitaje kama sio umakaya wa aina yake?
ReplyDeleteHawa ndo aina y mashabiki alowakataa Hadji.wasije uwanjan
ReplyDeleteKweli hii ni aibu. Hata plateau watatushangaa. Ni vema kukaa kimya kuliko hicho kilichofanyika. Siipendi nyau pori kabisa lakini kwa hili hapana.
ReplyDeleteWakati mwingine ni vizuri kuficha matatizo yetu. Walichofanya hao wachache ni upuuzi mtupu. Hso wanigeria watakujua wapi hata ukiwadapoti, wakifanikiwa sifa ni kwao na timu yao na taifa lao, aibu kwetu watanzania
ReplyDeleteSijawahi kuona huu upuuzi unaweza kuingia kwenye orodha ya maajabu ya dunia,huwa nawaita Roho mbaya Fc.
ReplyDeleteWatakao kuwa wamevaa jezi za Plateau wakidhibitika Ni mashabiki WA yanga,tutawapa kipigo wala hatufichi huu upuuzi Kama hawapendi wakaangalie Tv.
ReplyDeleteAibu sana jamani tusali sana mungu wa majeshi ausaidie simba na kumdhohofisha abilisi yanga na watu wake mungu ibAriki simba ishinde kesho na guiwezeshe tz mwakani iwakilushe timu 4 na iwr funfisho kwa mnafiki kama yanga naomba uwape nguvu wachezaji wasimba ikilenga lango liwe goli mungu awe nasi
ReplyDeleteNaamini kesho 4G bila tunza maneno yangu by kelvin
ReplyDeleteImechochewa na msemaji + kubebwa na Fff ndio maana hata Tstars wanazomewa... Jifunzeni mikia kulalama
ReplyDeleteNdio akili zenu hizo mandondocha
DeleteHivi tanzania kuna timu inayobebwa kama utopolo? Lini simba alisusia timu ya taifa au kupokea wageni wanaokuja kucheza na vyura? Ama hakika mmedhihirisha unyani wenu.
Sasa kesho mje uwanjani kwa wengi tuwakaze nyie na3 shoga zenu.
Simba bhana ko Mara hii mmesahau mlivonunua jezi za tp mazembe afu mechi ilikua bure mkajazana sasa kwenu povu linawatoka
ReplyDeleteMechi ilikua ya kirafiki..haikua mechi ya faida kwa taiga..yanga mnasikitisha Sana
Deletebro kuna simba walienda airport?mnakumbuka mwaka juzi mlivyowapoteza as vita wakakataa kuingia vyumbani wakafa kisaikolojia ?mazembe walikataa kuwasikiliza kabisa nao wangefanya hivyo tungewatoa tu, ushamba sisi hatuna hata wachezaji wetu ushaona wanapokewa airport siku hizi,sijui hmana kazi nyie viazi?sasa sikizeni mechi ijayo ni smaba na platnum ya zimbabwe kibna ngoma,jiandaeni tunaenda hadi nusu fainali
DeleteMimi nadhani sio Yanga wote wana hulka hiyo....tatizo ni ufinyu wa kufikiri na utambuzi wa mambo baadhi ya hao mashabiki sidhani wana utimamu mzuri wa akili....uzalendo wa nchi yako hauhitaji uende shule bali ni malezi na mafunzo mazuri ya wazazi na walezi na wakati mwingine walimu wa shule ambao hufunza uzalendo na ustaarabu katika maisha kitu ambacho kimekosekana kwa baadhi ya mashabiki wa soka wa Yanga....mimi naungana na wewe katika hili....haikupaswa akina Kindoki kuwapokea na kuwapa hao wageni mapokezi hayo kwani sio kazi yao!
ReplyDeleteukiingia page za soccer za nigeria wenyewe wameshangaa,kuna kuhasngilia uwamjani na kuna kkupoea airport,kuna habari page za nigeria kwamba simba imezuia washabiki wa palteu kuingia uwanjani,kuna habari kwamba simba itapulizia sumu vyumba na kuhonga marefa pia kwamba sifa wamhaonga CAf hadi kupata ranks za juu,pages za nigeria facebook zinasema hivyo nafikiri ushajua habari zinatoka wapi,aisee hawa jamaa wana usongo sana miaka mitatu ubingwa hakuna wana msongo wa mawazo
ReplyDeleteTATIZO MASHABIKI WA SIMBA WENGI MMEDANDIA TRENI KWA MBELE KWENYE USHABIKI. MMESAHAU KIPINDI AMBACHO SIMBA ALIKAA MUDA MREFU BILA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA MASHABIKI WA SIMBA WALIKUWA WANAFANYA NINI!?
ReplyDeleteHAMJUI KUWA SIMBA WAMESHA VAA SANA JEZI ZA AL AHLY NA ZAMALEK ZIKIJA TANZANIA KUCHEZA NA YANGA!? MMESAHAU MLIKUWA MPAKA MNASINDIKIZA MABASI YAO NA KUWAIMBIA NYIMBO BARABARANI NA UWANJANI!?
LEO HII KWA KUWA IMEKUWA ZAMU YENU MNAONA YANGA NDIO WANAWAFANYIA UBAYA!?
SIMBA MNAPENDA KUJIONA KUWA MNA MASHABIKI WA KISTAARABU LAKINI MMESAHAU KUWA NYIE NDIO MLING'OA VITI UWANJA WA TAIFA MKAWA MNARUSHA KISA GOLI LA TAMBWE!? HIVI NI MAGOLI MANGAPI SIMBA WAMEFUNGA YASIYO HALALI HATA PENALT ILE YA KAGERE MBELE YA YONDANI ILIKUWA NJE YA BOX MBONA YANGA HAWAKUFANYA FUJO?
LEO HII BAADA YA MANARA KUWAAMINISHA TOFAUTI NA KUWAFUNDISHA MATUSI BASI NDIO MNAONGEA VITU KAMA HAMJITAMBUI!?
MASHABIKI WA SIMBA MMEKOSA UVUMILIVU KWENYE MECHI ZA YANGA MNAWATUKANA HATA HUKO KWENYE VIBANDA UMIZA ACHILIA MBALI VIWANJANI KWENYE MECHI ZAO NA HAYA NDIO MATOKEO YAKE NAJUA KINACHOWAUMA NI ILE YA UD SONGO WALA SIO HAWA WA LEO.