LEO Jumapili ya Desemba 6 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbunga ambapo kutakuwa na michezo mitatu kwa timu sita kusaka pointi tatu kwenye viwanja vitatu tofauti.
Ratiba itakuwa namna hii:-
Mtibwa Sugar v Mwadui, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Ihefu v JKT Tanzania, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Yanga v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa, Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment